Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watunga sera na wadau wa sayansi waweza kutimiza SDGs- Kamau

Watunga sera na wadau wa sayansi waweza kutimiza SDGs- Kamau

Wataalamu wa sayansi, teknolojia na wavumbuzi wanahitaji kufanya kazi na watunga sera na wadau wengine katika kutimiza ajenda ya maendeleo endelevu SDGs, amesema mwakilishi wa kudumu wa Kenya katika ofisi ya Umoja wa Mataifa Balozi Macharia Kamau.

Katika mahojiano maalum na idhaa hii, Balozi Macharia ambaye ni Mwenyekiti mwenza wa Jukwaa la sayansi , teknolojia na uvumbuzi STI, linalokutana hapa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York Marekani, ameeleza namna dhana hizo mbili zinavyoweza kuhusiana akisema.

(Sauti Kamau)

Kuhusu nafasi ya vijana katika STI na SDGs Balozi Kamau amesema.

(Sauti Kamau)