Skip to main content

Changamoto ya migogoro Afrika ni Waafrika wenyewe:Manongi.

Changamoto ya migogoro Afrika ni Waafrika wenyewe:Manongi.

Wahenga walinena, ukishikwa shikamana na unapohitaji msaada onyesha nia kwanza. Kauli hiyo imetolewa na balozi wa kudumu wa Tanzania kwenye umoja wa Mataifa anayeondoka Tuvako Manongi alipozungumza na idhaa hii kuhusu hali ya sintofahamu ya amani Afrika.

(MANONGI CUT 1)

Hata hivyo Balozi Manongi ana matumaini

(MANONGI CUT 2)