Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Maambukizo ya Ukimwi yapungua Burundi

Maambukizo ya Ukimwi yapungua Burundi

Burundi imeungana na mataifa mengine hii leo kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupambana dhidi ya ugonjwa wa ukimwi. Siku hiyo inaadhimishwa , maambukizi ya ukimwi yakionekana kupungua.

Hata hivyo, changamoto kubwa ni kukabiliana na ukimwi katika maeneo ya vijijini.

Mwandishi wetu wa maziwa makuu Ramadhani Kibuga kutoka Bujumbura ametutumia taarifa hii.

(Taarifa ya Kibuga)