Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Licha ya machafuko, elimu ya msingi yanaendelea kutolewa Sudan Kusini

Licha ya machafuko, elimu ya msingi yanaendelea kutolewa Sudan Kusini

Elimu katikati ya nchi yenye machafuko!. Hivyo ndivyo unayoweza kusema ukitafakari elimu kwa watoto ambao nchi zao mathalani Sudan Kusini, taifa changa zaidi duniani lililotumbukia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Joshua Mmali katika makala ifuatayo anakusimulia ni kwa namna gani watoto wanapatiwa katika mizozo nchini humo. Ungana naye.