Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkutano wa Afrika umefungua pazia la juhudi zaidi kuwalinda Albino

Mkutano wa Afrika umefungua pazia la juhudi zaidi kuwalinda Albino

Wanaharakati wa kupinga ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi au Albino wanasema mkutano wa karibuni wa Afrika uliofanyika Dar es salaam Tanzania, umefungua pazia la kuhudi zaidi za mapambano dhidi ya ukatili kwa Albino.

Miongi mwa wanaharakati hao ni Vicky Ntetema, mkurugenzi mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la “Under the same sun” la jijini Dar es salaam. Akizungumza na afisa habari wa Umoja wa mataifa  nchini Tanzania Stella Vuzo anafafanua kama wana harakati wamen’gamua nini kwenye mkutano huo ulioandaliwa na mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu ulemavu wa ngozi

(VICKY CUT 1)

Baada ya mjadala mrefu wakaibuka na mkakati wa kimataifa

(VICKY CUT 2)

Na kisha wanatoa mapendekezo yao

(VICKY CUT 3)