Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uharibifu wa mazingira watowesha mimea na wanyama Uganda

Uharibifu wa mazingira watowesha mimea na wanyama Uganda

Siku ya mazingira duniani ambayo huadhimishwa Juni 5 kila mwaka, mwaka huu imebeba maudhui yahusuyo kutoweka kwa mimea na wanyama ikiwa ni matokeo ya uharibifu wa mazingira.

Nchini Uganda upotevu wa viumbe hivyo ni Dhahiri. Ungana na John Kibego aliyeatafiti suala hilo na kukuandialia makala ifuatayo.