Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tunaunga mkono azimio la kupeleka polisi Burundi: UNHCR

Tunaunga mkono azimio la kupeleka polisi Burundi: UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi nchini Burundi UNHCR limesema azimio la hivi karibuni la baraza la usalama la kupelekea polisi wa kulinda amani nchini humo litasaidia katika kutoa misaada ya kibinadamu.

Katika mahojiano maalum na idhaa hii Mwakilishi mkazi wa UNHCR nchini Burundi Abel Mbilinyi anataja kile kinachotarajiwa ikiwa amani ya kudumu itarejea.

( SAUTI MBILINYI)

Pia Mbilinyi amesema UNHCR imeunda vikosi viwili kwa ajili ya kutathimini mahitaji ya kibinadamu kwa watu takribani 25,000 ndani ya nchi.

( SAUTI MBLINYI)