Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNDP Tanzania kujumuisha vijana katika utekelezaji wa SDGS: Manyama

UNDP Tanzania kujumuisha vijana katika utekelezaji wa SDGS: Manyama

Katika kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwake,   shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa maendeleo UNDP, nchini Tanzania linakusudia kutekeleza miradi ya maendeleo ili kufanikisha utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu SDGs.

Katika mahojiano na afisa habatri wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania Stella Vuzo, Mkurugenzi Msaidizi  wa UNDP, Tanzania anayeshughulikia miradi Amoni Manyama amesema shirika hilo katika kufanikisha mpango huo linataka kujumuisha zaidi vijana na hivyo wiki ijayo kutafanyika kongamano  linalowalenga vijana na kwamba.

( SAUTI AMON MANYAMA)