UNHCR yaimarisha kiwango cha usafi ili kupambana na kipindupindu Dadaab, Kenya

4 Januari 2016

Nchini Kenya, kambi ya Dadaab inaendelea kupambana na mlipuko wa kipindupindu, idadi ya kesi ikiwa imefikia 1,140 hadi sasa tangu kuanza kwa mlipuko huo tarehe 18, Novemba, mwaka 2015.

Akihojiwa na idhaa hii, Osman Yussuf Ahmed, Mtaalam wa maji safi na salama katika Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi UNHCR kambini, amesema siyo mara ya kwanza kwa kambi hii kupambana na kipindupindu lakini mara hii ni tofauti kwani…

(Sauti ya bwana Osman)

Aidha ameeleza kwamba tayari harakati za kuimarisha kiwango cha usafi zimechukuliwa zikiwemo..

(Sauti ya bwana Osman)

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter