Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ujasiri wa kijana anaeyishi ni virusi vya ukimwi kama njia ya kuondoa unyanyapaa

Ujasiri wa kijana anaeyishi ni virusi vya ukimwi kama njia ya kuondoa unyanyapaa

Kwa kawaida ni vigumu kwa vijana wanaoishi na virusi vya ukimwi, kuelezea hali yao ya virusi hivyo hadharani  kwa sababu ikiwemo mtazamo wa jamii wanamoishi.

Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani nchini Uganda hasa katika wilaya ya Hoima yalienda sambamba na michezo na tamthilia za kuhamashisha kuhusu ukimwi na kusikiliza simulizi ya maisha ya kijana aliyeambukizwa virusi vya ukimwi. John Kibego alihudhuri maadhimoisho hayo na kuandaa makala ifuatayoo ungaana naye.

(Makala ya Kibego)