AMISOM, UNSOA zaendesha mafunzo ya kuzima moto Somalia.

AMISOM, UNSOA zaendesha mafunzo ya kuzima moto Somalia.

Katika kuhakisha  usalama na amani nchini Somalia, ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo UNSOA, ule wa Muungano wa Afrika AMISOM kwa kushirkiana na mamlaka za masuala ya anga nchini Somalia zimeendesha mafunzo kuhusu uzimaji wa moto.Lengo ni kumarisha usalama hususani katika uwanja wa ndege wa Mogadishu pamoja na nchi nzima kwa ujumla. Joseph Msami amefuatailia mafunzo hayo na kutuandalia makala ifuatayo.