UNICEF, washirika waunda kikosi kazi kuwezesha usafi kambi ya wakimbizi Nyarugusu Tanzania
Milipuko ya magonjwa ukiwamo ugonjwa wa kipindupindu ni miongoni mwa matokeo ya idadi kubwa kupita uwezo katika kambi ya Nyarugusu mkoani Kigoma ambako ili kukabiliana na magnjwa na changamoto nyingine kikosi kazi cha usafi kimeanzishwa.
Kufahamau namna kikosi kazi hicho kinavyofanya kazi na uwezo wake katika kutatua changamoto za usafi. Ungana na Joseph Msami