Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Juhudi za kudhibiti kipindupindu kwa wakimbizi wa Burundi walioko Tanzania

Juhudi za kudhibiti kipindupindu kwa wakimbizi wa Burundi walioko Tanzania

Mashirika ya Umoja wa Mataifa ikiwamo la afya WHO na la wakimbizi UNHCR kwa kushirikiana na wadau wengine wanaendelea na juhudi za kuhakikisha utokomezwaji wa kipindupindu katika kambi ya wakimbizi wa Burundi walioko Tanzania ambapo nuru imeanza kuonekana.

Ungana na Grace Kaneiya katika makaa inayomulika juhudi hizo mkoani Kigoma ambapo maelfu ya wakimbizi wamejihifadhi humo.