Skip to main content

Muziki ni kiungo muhimu maishani mwetu:N'dour

Muziki ni kiungo muhimu maishani mwetu:N'dour

Aprili 26 ni siku iliyotengwa kuanzia mwaka 2000 kama siku ya hakimiliki duniani kwa lengo la kuhamasisha uelewa kuhusu suala hilo. Tangu hapo siku hii imetoa fursa kila mwaka watu kujumuika na wengine kote ulimwenguni kwa ajili ya kuendeleza matumizi ya hakimiliki ikiwemo katika muziki na usanii ili kuimarisha teknolojia zinazosaidia kuendeleza dunia. Mwaka huu wanamuziki mbali mbali wametoa nyimbo zao kwa ajili ya kuadhimisha siku hii, je walifanya nini? Ungana na Grace Kaneiya katika makala ifuatayo.