Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Juhudi za kukabiliana na malaria Uganda

Juhudi za kukabiliana na malaria Uganda

Uganda imekuwa ikipambana na malaria ambayo kulingana na ripoti ya wizara ya afya ya nchi hiyo, kati ya watu 700,000 na 100,000 hupoteza uhai wao kwa malaria kila mwaka.

Lakini juhudu mbali mbali ikiwamo usambazaji wa vyandarua milioni 21 bila malipo na kuimarisha mazingira ya wahudumu wa afya wa vijijini wajulikanao kama, VHT vimeleta afueni kwa kupunguza idaadi ya wagonjwa kwenye hospitali za rufaa.

Thomson Isingoma afisa wa malaria wa wilaya ya Hoima enye hospitali ya rufaa katika eno la Ziwa Albert.

(Sauti ya Thomson Isingoma)