Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Teknolojia, ujuzi, na miundombinu vyahitajika kukuza biashara Afrika: Mero

Teknolojia, ujuzi, na miundombinu vyahitajika kukuza biashara Afrika: Mero

Ili bara la Afrika likue katika biashara ya kimataifa lazima likuze ujuzi, miundombinu na hata teknolojia amesema mratibu wa Afrika katika kamati ya biashara na mendeleo ya Umoja wa Mataifa UNCTAD Balozi Modest Mero.

Katika mahojiano na idhaa hii balozi Mero ambaye pia ni balozi wa Tanzania katika ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva amesema .

(SAUTI)

Katika mada yake aliyowasilisha kwenye mkutano huo amewaambia wajumbe

(SAUTI)