Sintofahamu kwa wakulima Kenya juu ya kilimo cha chakula au Jatropha
Ifikapo mwaka 2050 kutakuwa na watu bilioni 9 duniani. Je ni vipi itahakikishwa usalama wa chakula wakati ambapo uhaba wa chakula bado ni changamoto linaloshuhudiwa hususana katika mataifa yanayoendelea.
Nchini Kenya kuna sintofahamu ya kilimo cha chakula au jatropha. Katika kutatua sintofahamu hii tunaandama na Moses Shaha mkaazi wa Pwani ya Kenya, Ungana na Grace Kaneiya katika makala hii.