Skip to main content

Hayati Balozi wa Somalia akumbukwa na mtalaam huru kutoka Tanzania

Hayati Balozi wa Somalia akumbukwa na mtalaam huru kutoka Tanzania

Mtalaam huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu nchini Somalia, Bahame Tom Nyanduga, amelaani vikali mashambulizi yaliyotokea dhidi ya hoteli moja mjini Mogadishu yaliyosababisha vifo vya raia wengi akiwemo mwakilishi wa kudumu wa Somalia kwenye Umoja wa Mataifa mjini Geneva, Balozi Yusuf Mohamed Ismail ‘Bari Bari’.Ametambua mchango mkubwa wa Balozi Bari bari katika kutengeneza mkakati wa kuendeleza haki za binadamu nchini Tanzania, na isitoshe…

(Sauti ya Nyanduga)

Akisikitishwa na ongezeko la vitendo vya ugaidi nchini Somalia akatoa wito kwa serikali.

(Sauti ya Nyanduga)