Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kuelekea siku ya redio duniani, ifahamu historia ya redio ya Umoja wa Mataifa

Kuelekea siku ya redio duniani, ifahamu historia ya redio ya Umoja wa Mataifa

Dunia ikiadhimisha siku ya redio duniani mnamo February 13 kila mwaka, radio ya Umoja wa Mataifa ni miongoni mwa vyombo vya habari vikongwe duniani. Redio hii imedumu kwa takribani miaka 70  ikuhudumu kwa lugha mbalimbali na mataifa mbalimbali.

Ungana na Joseph Msami kufahamu undani wa historia ya chombo hiki adhimu.