Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hatua zimepigwa utekelezaji wa haki za mtoto lakini bado kuna changamoto: Tanzania

Hatua zimepigwa utekelezaji wa haki za mtoto lakini bado kuna changamoto: Tanzania

Kamati ya haki za mtoto inaendelea na vikao vya kutathimini hali ya haki za watoto  mjini Geneva ambapo nchi wanachama wa mkataba wa haki za mtoto (CRC) wanawasilisha ripoti kuhusu utekelezaji wa haki za watoto katika nchi hizo.

Miongoni mwa nchi zilizowasilisha ripoti yake ni Tanzania kama anavyofafanua naibu waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia na watoto Pindi Chana

(SAUTI CAHANA)

Hata hivyo amesema bado ziko changamoto

(SAUTI CHANA)