Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Navi Pillay na Adama Dieng ziarani Sudan Kusini

UN Photo/Isaac Billy
Adama Deng na Navi Pillay wakizungumza na mkuu wa waasi Riek Machar.

Navi Pillay na Adama Dieng ziarani Sudan Kusini

Mkuu wa Ofisi ya Haki za binadamu, Navi Pillay, na Mtaalam Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu kuzuia mauaji ya kimbari, Adama Dieng, wametimiza ziara yao ya Sudan Kusini kutathmini hali ya usalama wa kibinadamu na kuzungumza na viongozi wa pande zote za mzozo unaoendelea maeneo hayo tangu mwezi Decemba mwaka 2013.

Ungana na Priscilla Lecomte katika makali hii