Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanawake wa pemebezoni wajitutumua na kuanzisha kiwanda cha maziwa

Wanawake wa pemebezoni wajitutumua na kuanzisha kiwanda cha maziwa

Huko mkoani Manyara nchini Tanzania kuliko na jamaii ya pembezoni ya wamasai, wanawake wameaumua kuchukua hatua za uzalishaji ili kuinua uchumi wa familia zao na jamii kwa ujumla.

Walichofanya wanawake hawa ni kuanzisha kiwanda cha maziwa ambacho kimekuwa ukombozi. Ungana na Baraka David ole Maika wa radio washirika ORS iliyoko Manyara Tanzania.