Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Juhudi za kujikomboa za wanawake walioko maeneo ya mizozo zaangaziwa:DRC

Juhudi za kujikomboa za wanawake walioko maeneo ya mizozo zaangaziwa:DRC

Tukiwa tunaelekea siku ya wanawake duniani March 8, je wanawake walioko katika meoneo yaliyokumbwa na mizozo wanafanya nini kujikomboa kiuchumi na kijamii? Langi Asumani wa radio washirika Umoja iliyoko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC amezungumza na baadhi ya wanawake wajasiriamali nchini humo.

Ungana naye katika mahojinao haya