Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Familia nchini Tanzania hutegemea radio kwa taarifa muhimu ikiwamo afya

Familia nchini Tanzania hutegemea radio kwa taarifa muhimu ikiwamo afya

Familia nyingi hususani katika nchi zinazoendelea hutegemea radio kwa ajili ya kupata taarifa na mambo mengineyo ya kijamii na hata kiuchumi.

 Ili kufahamau hali ilivyo nchini Tanzania , Tamimu Adamu wa radio washirika Jogoo Fm iliyoko Ruvuma nchini humo amelazimika kufunga safari na kuitembele moja ya familia mkoani Ruvuma, unagana naye katika ripoti ifuatayo.