Siku ya Radio Duniani

Jamii yetu imenufaika sana na matangazo ya redio za kijamii.

Ikiwa leo ni siku ya redio duniani ambapo ulimwengu unakiangazia chombo hicho ambacho kwa miongo mingi kimekuwa muhimu kupitisha taarifa muhimu kwenda kwa jamii na pia kuwapa wanajamii fursa ya kueleza mawazo yao katika ujenzi wa maisha yao, Umoja wa Mataifa umeamua maadhimisho ya mwaka huu yalen

Sauti -
3'28"

UNESCO yasema radio ni moja ya chombo cha siku zijazo, hebu tuilinde

Mbinu tofauti za kusambaza taarifa kupitia radio iwe ni katika mita bendi ya AM au FM au kwa kupitia teknolojia za kidijitali au kwenye wavuti zinaendana na utofauti katika yaliyomo kwenye programu ambazo zinazalishwa na wingi wa maoni, utamaduni na yale yanayotangazwa.

Sauti -
2'14"

UN yahimiza umuhimu wa radio duniani kama chombo kinachounganisha jamii

Ikiwa leo ni siku ya Radio duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema   Radio inasalia kuwa chombo muhimu katika jamii kinachowaleta watu pamoja.

Sauti -
1'16"

Radio ni moja ya chombo cha siku zijazo, hebu tuilinde- UNESCO

Mbinu tofauti za kusambaza taarifa kupitia radio iwe ni katika mita bendi ya AM au FM au kwa kupitia teknolojia za kidijitali au kwenye wavuti zinaendana na utofauti katika yaliyomo kwenye programu ambazo zinazalishwa na wingi wa maoni, utamaduni na yale yanayotangazwa.

Leo ni siku ya Radio duniani, bado ni chombo kinachounganisha jamii:UN

Ikiwa leo ni siku ya Radio duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema   Radio inasalia kuwa chombo muhimu katika jamii kinachowaleta watu pamoja.

Radio haifi ng'o- Jane John

Ujumbe wa siku ya radio duniani mwaka huu wa 2018 ni Radio na Michezo! Umoja wa Mataifa unataka chombo hicho adhimu kitumike kusaidia watu kuchanua na kuonyesha uwezo wao wote. Miongoni mwa watu ambao radio imeweza kuibua stadi zao ni Jane John, mtangazaji wa kike wa habari za michezo katika shirika la utangazaji nchini Tanzania, TBC. Assumpta Massoi alizungumza na Jane kwa njia ya simu kutoka Dar es salaam, Tanzania na kuanza kwa kumuuliza manufaa ya radio!

Radio ni chombo chaa kijamii hususani Afrika: Dkt Hamza Mwamoyo

Radio ni chombo chaa kijamii hususani Afrika: Dkt Hamza Mwamoyo

Radio ni chombo cha habari kwa makundi yote kwa wasomi na wasio wasomi na pia chombo hiki hutumika kama chombo cha kijamii barani Afrika amesema mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya sauti ya America VOA  Dkt.

Sauti -

Sauti kutoka kona mbali zadhihirisha umuhimu wa chombo:Radio