Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Radio yawezesha uchumi na maisha ya kijamii kwa wanawake

Radio yawezesha uchumi na maisha ya kijamii kwa wanawake

Uwezeshaji wa kiuchumi na kijamii hutegemea mambo mbali mbali ikiwamo taarifa mbali mbali kupitia vyombo vya habari hususan radio. Wanawake kwa mara nyingi hutegemewa katika uzalishaji na kutunza familia wanaitumiaje radio katika kutekeleza majukumu hayo?

Basi ungana na Enes Mwaisakila kutoka radio washirika Jogoo Fm ilioko Ruvuma Tanzania