Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO kutoa ripoti ya saratani kwa nchi 40 Jumatatu

WHO kutoa ripoti ya saratani kwa nchi 40 Jumatatu

Shirika la afya duniani WHO limesema litatoa ripoti ya kimataifa ya mwenendo wa saratani itakayogusia nchi 40.

Ripoti hiyo itakayotolewa Februari 3 inatarajiwa kusisitiza kwamba matibabu pekee hayawezi kushinda vita dhidi ya saratani.

Hivyo kunapaswa kuwa na juhudi zaidi za hatua za  kuzuia na kudhibiti saratani. Ripoti hiyo itazinduliwa mjini London.