Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mzigo wa kukabiliana na njaa nchini CAR ni mzito kwa WFP

Mzigo wa kukabiliana na njaa nchini CAR ni mzito kwa WFP

Wakati mgogoro huko jamhuri ya Afrika ya Kati CAR ukiendelea kuathiri maisha ya maelfu ya makumi elfu ya wananchi, shirika la mpango wa chakula duniani WFP linakumbana na uhaba wa chakula cha kuwasaidia wananchi hao wanaokabiliwa na njaa.

WFP inahaha kunusuru maisha ya wakimbizi hao wa ndani ya nchi yao kama ambavyo taarifa ya Joseph Msami inavyofafanua