Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Serikali ya Syria na Upinzani jukwaani

Serikali ya Syria na Upinzani jukwaani

Kongamano la Montreux limehutubiwa na wawakilishi wa Marekani, Urusi, serikali ya Syria na upinzani.

Mwakilishi wa serikali ya Syria alikuwa ni Waziri wake wa Mambo ya Nje, Walid al-Moallem ambaye amesema baadhi ya watu walioko kwenye kongamanohilowalijaribu kuirejesha nchi yake katika enzi za zamani, huku akitaja baadhi ya maovu yanayotekelezwa nchiniSyria.

 (SAUTI YA Walid Al- Moallem)

Na kuuwakilisha upinzani amekuwa ni Bwana Ahmad Jarba, ambaye amesema ushirikiano kamilifu unahitajika haraka ili kurejesha utulivu nchini Syria

(SAUTI YA JARBA)