Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Washuhudia wanavyomfahamu Mandela.

Washuhudia wanavyomfahamu Mandela.

Huku watu wengi hususani barani Afrika wakiendelea kuguswa na msiba wa mtu mashuhuri duniani Nelson Mandela watu u waliomshuhudia kiongozi huyo shupavu wakati wa uhai wake wameelezea namna wanavyomkumbuka akiwemo mzee Mustafa Songambele kutoka Ruvuma pamoja na Theodesina Kasapila ambao walihojiwa na Tamimu Adam wa radio washirika Jogoo Fm iliyoko Ruvuma Tanzania.

Ungana naye katika mahojiano haya yatakayokuwezesha kufahamu kile walichokiona kwa hayati Mandela.

(MAHOJIANO)