Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nishati ya atomiki na uangamizi wa wadudu waharibifu: Prof. Mbarawa

Nishati ya atomiki na uangamizi wa wadudu waharibifu: Prof. Mbarawa

 Mwakilishi wa Tanzaniakwenye mkutano wa IAEA kuhusu matumizi ya nguvu za atomiki Profesa Makame Mbarawa, amesema nishati hiyo inaweza kuua wadudu wanaoshambulia matunda na hivyo kuboresha soko la bidhaa hizo kimataifa.  Profesa Mbarawa ambaye ni Waziri wa mawasiliano, Sayansi na teknolojia amesema hayo katika mahojiano maalum na Radio hii kutokaAustriakunakofanyika mkutano huo.

 (Sauti Mbarawa)

Kadhalika mwakilishi huyo waTanzaniaamesema mionzi ya atomiki inaweza kutumika pia kusaidia katika kuangamiza wadudu aina ya mbung’o wanaoshambulia mifugo ili kuboresha nyama na maziwa.

 (Sauti Mbarawa)