Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Shughuli za FIFA nchini Somalia zang'oa nanga

Shughuli za FIFA nchini Somalia zang'oa nanga

Ni nuru njema kwa nchi ya Somalia kufuatia shughuli za Fifa na nchi hiyo kung’oa nanga kufuatia kuimarika kwa usalama na uthabiti wa nchi hiyo basi ungana na Joseph Msami katika ripoti hii