Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Burundi yajizatiti kudhibiti maambukizi ya Ukimwi kwa watoto

Burundi yajizatiti kudhibiti maambukizi ya Ukimwi kwa watoto

Burundi inachukua hatua zaidi ya kudhibiti maambukizi ya Ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto na hayo yamefahamika wakati Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya Ukimwi,

UNAIDS Michel Sidibé aliyeko ziarani nchini humo aliposhiriki maadhimisho ya kitaifa ya siku ya ukimwi. Nchini Burundi takwimu zinaonyesha kuwa mwaka 2011 watoto Elfu Mbili walizaliwa wakiwa wameambukizwa virusi vya Ukimwi. Ramadhani Kibuga ametuma ripoti hii.

 (RAMADHANI SAUTI)