Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

"Elimu Kwanza":Kuwekeza katika elimu kunalipa

"Elimu Kwanza":Kuwekeza katika elimu kunalipa

Ingawa hatua kubwa zimepigwa katika mwongo mmoja uliopita, nchi nyingi za kipato cha chini bado zimebaki nyuma katika harakati za kutimiza malengo ya maendeleo ya milenia kuhusu elimu ifikapo mwaka 2015.

Ungana basin a Joshua Mmali katika makala hii inayoanza kwa kumulika mikutano ambayo imefanyika mjini Washington Marekani, ikiangazia suala la elimu, na kile kinachotakiwa kufanywa kuhakikisha kila mtoto anapata elimu.