Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wahamiaji wa Tawerika Libya wapata afueni kwa msaada wa IOM

Wahamiaji wa Tawerika Libya wapata afueni kwa msaada wa IOM

Miaka miwili bada ya mapigano yalioikumba Libya, baadhi ya raia wa nchi hiyo, wamegeuka wahamiaji katika nchi yao kutokana na chuki za kisiasa. Mathalani jamii ya Tawerika yenye idadi ya takribani watu 30, 000 ambao wamesambaa sehemu kadhaa za mjini Tripoli na sehemu nyingine  kutafuta makazi.

Kufuatia hilo Shirika la kimataifa la Uhamiaji IOM likishirikiana na asasi 37 za kiraia limeanza kugawa misaada isiyo ya chakula nchini Libya ili kunusuru maisha ya wahamaji hao wa ndani .

Joseph Msami mefanya  mahojianao na msemaji wa IOM Jumbe Omari Jumbe aneyefafanua namna msaada huo unavyotolewa  katika mji wa Tripoli na kulezea mipango ya Shirika hilo ya kuendelea kusaidia wahamaji nchini Libya.

MAHOJIANO (JUMBE)