Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hatma ya Tembo Afrika mashakani: Ripoti mpya

Hatma ya Tembo Afrika mashakani: Ripoti mpya

Kumekuwa na wasiwasi wa kuendelea kupotea kwa idadi kubwa ya tembo barani Afrika kutokana ongezeko kubwa la biashara ya magendo ya pembe za ndovu. Ripoti mpya iitwayo “ Tembo waliogizani- Tembo wa Afrika Mashakani” imesema kumekuwa na ongezeko kubwa la uwindaji haramu unaoshuhudiwa katika maeneo ya Afrika ya Kati hadi maeneo mengine ikiwemo Mashariki na magharibi mwa Afrika. Ripoti hiyo inasema kuwa katika miongo iliyopita tembo idadi ya tembo waliouawa imeongezeka maradufu. George Njogopa na taarifa zaidi

(SAUTI YA GEORGE)