Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF yapongeza ripoti mpya ya "Save the Children"

UNICEF yapongeza ripoti mpya ya "Save the Children"

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limepongeza ripoti mpya ya shirika lisilo la kiserikali la Uingereza, Save the Children inayomulika mikakati ya kutokomeza umaskini na dira ya watoto baada ya mwaka 2015.

UNICEF imesema ripoti hiyo inatoa mwelekeo wa kusimamia haki za msingi za mtoto ikiwemo ile ya kuishi, kulindwa na kuendelezwa hata baada ya miaka baada ya kufikia ukomo wa malengo ya milenia mwaka 2015. Tupata maelezo zaidi kutoka kwa George Njogopa.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)