Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ukataji wa miti waigharimu Kenya mamilioni ya dola kila mwaka: UNEP

Ukataji wa miti waigharimu Kenya mamilioni ya dola kila mwaka: UNEP

Kenya ilipoteza jumla ya shilingi bilioni 5.8 au dola milioni 68 mwaka 2010 na shilingi bilioni 6.6 mwaka 2009 kutokana na ukataji wa miti kwa mujibu wa ripoti ya pamoja ya shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP na idara ya misitu nnchini Kenya KFS.

Utafiti unoaendeshwa na na idara ya misitu nchini Kenya KFS na washikadau wa kimataifa unaonyesha kuwa misiti nchini Kenya inachukuwa kuwa kitu kisicho cha manufaa huku mchango wake kwa pato la taifa ukichukuliwa kuwa asilimia 3.6 tu. Jason Nyakundi na taarifa kamili.

(SAUTI YA JASON NYAKUNDI)