Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Brazil inajitahidi kupata muafaka wa matokeo ya Rio+20

Brazil inajitahidi kupata muafaka wa matokeo ya Rio+20

Waziri wa mambo ya nje wa Brazil Antonio Patriota amesema nchi yake inajitahidi kwa kila hali kuhakikisha kwamba wanafikia muafaka mapema kuhsu matokeo ya mkutano wa Rio+20.

Akizungumza na Radio ya Umoja wa Mataifa amesema nchi yake imekuwa ikijihusisha zaidi na juhdi za kondoa tofati zilizopo na kshughulikia vipengee na mada ambazo bado zinahitaji kufanyiwa kazi, lakini anasema anahisi wamepiga hata kubwa katika mkchakato mzioma wa mjadala tangu kikao cha mwisho kumalizika New York.

Ameongeza kuwa sasa waanza duru ya mwisho Rio wakiwa na matumaini kwamba wanaweza kuwasilisha kwa viongozi wa dunia nyaraka zilizokamilika.

(SAUTI YA ANTONIO PATRIOTA)