Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ili kuleta maendeleo lazima mazingira yalindwe:UNEP

Ili kuleta maendeleo lazima mazingira yalindwe:UNEP

Wiki hii shirika la moja wa mataifa la mazingira UNEP limefanya zinduzi wa ripoti ya tato ya kimataifa inayoelezea hatua zilizopigwa katika klinda mazingira duniani.

Uzindzi ho umefanyika kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa Nairobi Kenya na kasha baadaye mjini New York. Ripoti hiyo iliyopewa kichwa GEO-5 imezinduliwa sik chache kabla ya kuanza kwa mktano wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo endelevu maarifu kama Rio+20 utakaoendelea mjini Rio De Janeiro nchini Brazili kuanzia Juma lijalo.

Umoja wa Mataifa umekwa ukizipigia debe nchi kushikamana na kuongeza jhudi za ulindaji wa mazingira kwa ajili ya kizazi hili na kizazi kichacho. Miongoni mwa waliohudhuria uzinduzi huo mjini Nairobi ni naibu mkurugenzi mkuu wa UNEP Amina Mohammed

(SAUTI YA AMINA MOHAMMED)

Na ili kupata ufafanuzi zaidi na uchambuzi wa kina kuhus ripoti hiyo, muhimu wake na matarajio ya UNEP katika kufanikisha malengo mwandishi wetu wa Nairobi Jason Nyakundi alihuduria uzinduzi huo na kuketi chini na Dr Francis Mwaura kasha kutuletea taarifa hii

(MAHOJIANO NA DR MWAURA)