Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkuu wa UNCTAD ataka kufanyika mabadiliko kuhusu masuala ya uchumi

Mkuu wa UNCTAD ataka kufanyika mabadiliko kuhusu masuala ya uchumi

Katibu Mkuu wa shirika la bishara na maendeleo la Umoja wa Mataifa UNCTAD amesema kuwa kunastahili kuwe mabadiliko kuhusu masuala ya uchumi ya miaka 30 iliyopita ili kuingia kwenye masuala yaliyo na lengo la maendeleo ya ya kiuchumi wakati ulimwengu unapojikwamua kutoka kwenye hali mbaya ya uchumi.

Ripoti hiyo iliyotolewa hii leo inataka kuchukuliwa kwa hatua za kitaifa na kimataifa ili kupata suluhu la dunia nzima.George Njogopa na taarifa kamili.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)