Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

ECOSOC kuwahakikishia ajira vijana

ECOSOC kuwahakikishia ajira vijana

Shirika la uchumi na jamii la Umoja wa Mataifa ECOSOC linasema kuwa kuhakikisha kuwepo ajira kwa vijana ni moja ya malengo makuu ya shirika hilo mwaka 2012. ECOSOC inaanza mkutano wa siku nne hii leo kujadili hali ya sasa ya uchumi duniani.

Mkurugenzi wa ofisi ya kutoa ratiba kwenye shirika la ECOSOC Hanif Navid anasema kwamba shirika hilo lina lengo la kubuni ajira kwa lengo la kumaliza ukosefu wa nafasi za kazi duniani.

(SAUTI YA HANIF DAVID)