Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Siku ya ugonjwa wa Saratani duniani kuadhimishwa kesho

Siku ya ugonjwa wa Saratani duniani kuadhimishwa kesho

Siku ya Saratani duniani itaadhimishwa tarehe nne mwezi Februari mwaka huu. Ugonjwa wa Saratani unatajwa kuua watu wengi zaidi duniani ukiwa ulisababisha vifo vya watu milioni 7.6 mwaka 2008. Saratani ya tumbo na maini inatajwa kusabahisha vifo vingi zaidi kila mwaka. Matumizi ya tumbaku ndiyo husababisha ugonjwa wa saratani ikiwa inasababisha asilimia 71 ya saratani dunia. Nilipata kuzungumza na mmoja wa wagonjwa wa ugonjwa wa saratani na alikuwa na haya ya kusema.

(MAONI KUTOKA KENYA)

Pia nchini Burundi watu wametoa maoni yao kuhusu ugonjwa wa saratani

(MAONI KUTOKA BURUNDI)