Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wagonjwa wa kifua kikuu waugua aina tofauti za ugonjwa

Wagonjwa wa kifua kikuu waugua aina tofauti za ugonjwa

Inakadiriwa kuwa zaidi ya watu milioni moja huwa wanaugua ugonjwa ujulikanao kama pulmonary aspergillosis unaosababishwa na kuvu baada ya kutibiwa ugonjwa wa kifua kikuu kila mwaka.

Asilimia kubwa ya visa vya ugonjwa huo vimeripotiwa nchini Bangladesh, China,India, Indonesia na Ufilipino. Zaidi watu milioni 8 ambao hutibiwa ugonjwa wa kifua kikuu hupata kuvamiwa na kuvu ambayo mara nyingi haitibiwi kwa kuchukuliwa kuwa ugonjwa wa kifua kikuu. Monica Morara ana taarifa kamili.

(SAUTI YA MONICA MORARA )