Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kuwekeza kwa wanawake wa vijijini kutaangamiza njaa na umaskini:Ban

Kuwekeza kwa wanawake wa vijijini kutaangamiza njaa na umaskini:Ban

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuwainua wanawake wa vijijini sawia na wanaume akisema kuwa hatua hiyo itachangia kuongezeka kwa chakula na kupungua kwa watu walio na njaa duniani.

Akiongea kabla ya maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wanawake wa vijijini Ban amesema kuwa hata baada ya wanawake wa vijini kutekeleza wajibu mkubwa wanakosa fursa sawa. Alice Kariuki na taarifa kamili.

(SAUTI YA ALICE KARIUKI)