Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Msaada wa kimataifa wahitajika kukabiliana na utapiamlo nchini Niger: UNICEF

Msaada wa kimataifa wahitajika kukabiliana na utapiamlo nchini Niger: UNICEF

Msaada wa kimataifa unahitajika ili kuweza kukabialina na tatizo la utapiamlo nchini Niger. Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF linasema kuwa zaidi ya watoto milioni 15 kati ya watoto 100 wanasumbuliwa na utapiamlo kwenye taifa hilo la Afrika Magharibi. UNICEF inasema kuwa mavuno mabaya ya mwaka 2010 yamechangia kuwepo kwa hali hiyo. Niger ni moja ya nchi za kiafrika zinazopokea kiasi kidogo cha msaada wa kimataifa