Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM wakaribisha wazo la Iraq ya kusimamia fedha za maendeleo

UM wakaribisha wazo la Iraq ya kusimamia fedha za maendeleo

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa hii leo limekaribisha wazo la serikali ya Iraq la kuchukua usimamizi wa fedha za mipango ya kimaendeleo ilizotengewa ili kuiwezesha nchi hiyo kutoa huduma za kibinadamu na ujenzi wa miundo mbinu baada ya uvamizi ulioongozwa na marekani mwaka 2003.

Baraza hilo limekaribisha wazo hilo la serikali ya Iraq linalowiana na azimio lake la mwaka 1956 lililotekelezwa mwaka uliopita.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)