Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wafanyikazi watatu wa kitengo cha hewa cha Umoja wa Mataifa waliokuwa wametekwa nyara waachiliwa Darfur

Wafanyikazi watatu wa kitengo cha hewa cha Umoja wa Mataifa waliokuwa wametekwa nyara waachiliwa Darfur

Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa WFP limefurahishwa na habari kuwa raia watatu wa Latvia ambao ni wanafanyakazi kama wahudumu wa helicopter ya WFP magharbi mwa jimbo la Darfur wamechiliwa huru baada ya kushikiliwa na watekaji nyara kwa zaidi ya mwezi mmoja.