Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mahojiano na Emmanuel Nyabera kuhusu ziara ya Guterres Kenya

Mahojiano na Emmanuel Nyabera kuhusu ziara ya Guterres Kenya

Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR Bwana Antonio Guterres leo Jumanne ameanza ziara kwenye makambi ya wakimbizi ya Kakuma na Dadaab nchini Kenya.

Flora Nducha amezungumza na msemaji wa UNHCR nchini Kenya Emmanuel Nyabera anayeambatana na Bwana Guterezi kuhusu ziara hiyo.