Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO imeanzisha mpango wa tiba ya kuwanusuruwalioumwa na nyoka

WHO imeanzisha mpango wa tiba ya kuwanusuruwalioumwa na nyoka

Watu laki moja hufariki dunia kila mwaka kutokana na kuumwa na nyoka na mataifa mengi yanakabiliwa na upungufu mkubwa wa dawa ya kupambana na sumu ya nyoka.

Kufuatia hali hii shirika la afya duniani WHO linachapisha mwongozo mpya wa usimamizi na wapi dawa ya kupambana na sumu ya nyoka inakopatikana kwenye tovuti, na jinsi ya kuipata. Naibu mkurugenzi wa WHO Carisa Ettiene amesema kuwa mataifa mengi hayawezi kupata dawa ya kupambana na sumu ya nyoka na mataifa mengine yanatumia dawa ambayo haijajaribiwa.

Na wakati mwingine watu huumwa na nyoka na hawapati matibabu yanayotakiwa

kuchukua hatua kuhusu suala hilo. Mahecic ni afisa wa WHO